Uchaguzi 2020 CHADEMA kumtumia Salum Mwalimu kama mgombea mwenza wa Tundu Lissu ni turufu kupata kura za vijana?

Archduke

New Member
Joined
Jul 24, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Je, CHADEMA kumtumia Salum Mwalimu kama mgombea mwenza wa Urais Tundu Lissu ni turufu kupata kura za vijana ?

 
Hana kitu uyo ashawahi kugombea ubunge chini ya ukawa akapigwa chini hana ushawishi wowote
 
Hana kitu uyo ashawahi kugombea ubunge chini ya ukawa akapigwa chini hana ushawishi wowote

..mbona Shein aligombea ubunge na kushindwa kabla hajateuliwa kuwa VP wa Mkapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…