CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Tarehe 17 Oktoba, 2024 Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Hutakiwi kukosa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu Mambo ni Mengi mno na Muda ni Mchache, lakini niwaombe sana kutegea sikio Mkutano huu, Hakika mtapigwa na Bumbuwazi.

Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kesho tarehe 17 Oktoba 2024 saa tano asubuhi, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa.

 
Kama uandikishaji haufuati kanuni na Sheria za uchaguzi ulio huru na haki bora kujitenga naoe.
 
Wanataka kuandamana tena wazee wa siasa za maandamano.
 
Aeleze kwa uhakika upuuzi unaoendelea kwenye zoezi zima la kujiandisha kupiga kura.
 
press conferences with completely no impacts at all 🐒
 
Chadema press conference zimezidi hazina mvuto tena
 
Wanataka kuandamana tena wazee wa siasa za maandamano.
Sasa Chadema wanalowaza ni maandamano na press conference tu
Chama kinakufa hiki.Huwezi endesha au kujenga chama kwa kuwaza maandamano na press conference tu

Ausee ukisikia kupatwa kwa chama ndio sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…