Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
ubungo sio halmashauri mkuuHai, uBungo, Musoma Mjini...
mbeya mjini walipata madiwani 14, ccm 20 hivyo ccm ndio wataongoza halmashauri hii mkuuMbeya Mjini!
jijibu mwenyewe shetani wejmla kuna halmashauri ngapi nchi nzima? na 13 ni asilimia ngapi ya zote?
jijibu mwenyewe shetani we
Pamoja na NEC ya CCM kuchakachua matokeo na kumtawaza JK ambaye siyo chaguo letu, imehabarishwa na gazeti MZAWA la leo kuwa Chadema kuongoza Halmashauri 13 na baadhi yake ni Muleba, Arusha, Mwanza, Karatu, Moshi............jazilizeni zilizobaki...............
Ninaomba kuwakilisha..........................
HAta yesu aliambiwa ana pepo na anatoa pepo kwa mkuu wa pepo......!
kama mtume Paulo nami nasema......kuhusu kukjua MUNGU wa kweli ni ukristo...nami ni mkristo wa wakristo......tangia sasa mtu asinitaabishe kwani nimezibeba mwilini mwangu chapa zake KRISTO.......!
oooh sorry...kumbe wewe ni mtani wangu....... angalia usije jinyonga kwa maudhi haya....hivi kale ka-mbwa umeshakamaliza?
Iringa Mjini (Mbunge na madiwani big %)Arusha Mjini
Moshi Mjini
Hai
Rombo
Hanang ( Mbunge wa ccm lakini madiwani wengi wa CHADEMA)
Mbulu
Karatu
Ubungo
Kawe
Muleba
Tarime ( Mbunge wa ccm madiwani chadema)
Nyamagana
Ilemela
Hai, uBungo, Musoma Mjini...