- Source #1
- View Source #1
<div class="bbWrapper"></div>
- Tunachokijua
- Baada ya kufatilia na muda kupita tumebaini kuwa taarifa hizi sio za kweli.
Mpaka sasa chama cha CHADEMA hakijapeleka majina yoyote ya Wabunge wa viti maalumu.
Kilichopo kwa sasa kuna kesi mahakamani ambapo mbunge Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga maamuzi ya Baraza kuu la Chadema kuwafuta uanachama.
Aidha, kuhusu Halima Mdee na wenzake kuendelea kuwa Wabunge Spika Tulia Aksoni ameidhinisha wabunge hao kuendelea na ubunge wao mpaka pale majibu ya kesi ya mahaka yakitoka.