Chadema kurusha Jambo lao ITV na Redio One, Usikose

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa ya ghafla iliyotufikia hivi Punde

Screenshot_2025-02-27-18-49-33-1.png

No Reform No Election

========
Mengineyo: Inatarajiwa ITV kuvunja rekodi ya Watazamaji Tangu kuanzishwa kwake.

UPDATES
=======
Tayari Tuko Live ITV, fuatilia bure kabisa bila bando
 
Tukio gani zaidi ya kuomba michango? Ikiwa siyo kuomba michango mods wanipige ban masaa 24.

Nyie na majizi ya ccm hamna tofauti hamjapata tu nafasi.
 
Trump aliomba michango hadi kupika Chips na kuwagawia wapita njia, ushirikishwaji wa umma ni jambo muhimu sana, hasa kwa Chama kama Chadema ambacho hakitegemei wauza unga
 
Bora kuchangia chama kuliko kuhongwa viberiti na chumvi wanaccm ni vilaza wanazalilishwa .naambiwa mke wake lucas anapewaga buku kiberiti na chumvi.
 
Mkuu mleta mada taarifa yako haija kamilika.. Mbona kama kanjanja.. Hakuna muda wala tarehe.. Ila kuna saa tuu why?!
 
Tukio gani zaidi ya kuomba michango? Ikiwa siyo kuomba michango mods wanipige ban masaa 24.

Nyie na majizi ya ccm hamna tofauti hamjapata tu nafasi.
Jipige ban mwenywe usisumbue mods,No reform no election
 
Back
Top Bottom