Chadema kurusha Jambo lao ITV na Redio One, Usikose

Tukio gani zaidi ya kuomba michango? Ikiwa siyo kuomba michango mods wanipige ban masaa 24.

Nyie na majizi ya ccm hamna tofauti hamjapata tu nafasi.
Cdm hawafadhiliwi na wauza unga kama ccm, hivyo kuchangisha kama Nyerere wakati anadai uhuru ni sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ