Chadema kusimamisha mgombea wa Urais 2010; si lazima Mbowe!

Duh,kumbe kafulila ni presidential material kwako?
 
KubwaJinga,

Wewe jinga kubwa kweli, kum rate aliyekuwa ofisa habari, mtovu wa nidhamu eti ni presidential material.
 
Nachokumbuka mimi mwaka 2005 Mbowe akiwa mwenyekiti aliingia ktk uchaguzi wa mgombea Urais na kama sikosei mpinzani wake ktk uchaguzi wa ndani Chadema alikuwa mwanamke.
Nakumbuka sana nilikemea kitendo cha viongozi wengine kujichimbia au kupangwa matokeo kwa Mbowe kutokuwa na Mshindani wa nguvu hivyo kuto onyesha demokrasia ndani ya Chama. Na mwana JF, Eric Ongara tulipekana kichizi ktk mada hiyo..that was then..
Kwa hiyo ulinipa mshangao kusikia kwamba Chadema husimamisha mwenyekiti wake kama mgombea wa Urais wakati majuzi tu Zitto kasema Mgombea wa kiti cha Urais Chadema sii lazima awe mwenyekiti na kwamba yeye hata kama angechukua wenyekiti asingeweza kugombea Urais kutokana na umri wake..
Sasa sielewi nani anazungumza ukweli!
 
Swali! :mzee kuna taarifa kwamba binadamu hufa je wewe nawe unatarajia kufa.
Jibu! :Ndio, ni wajibu na itakapokuwa kwangu sina budi kuurudia udongo.
Kichwa cha habari front page :MZEE KUURUDIA UDONGO!!!
-Asema pia atakufa...
 
Mzee Mwinyi, Mkapa,JK hawakuwa wenyeviti wa chama wakati wanagombea Urais.

Lipumba wakati anagombea 1995 hakuwa mwenyekiti wa CUF.
Seif Sharif Hamad mara zote anagombea sio mwenyekiti wa CUF.

Barack Obama sio Mwenyekiti wa Democratic.
David Cameroon sio Mwenyekiti wa Conservative.
Gordon Brown sio Mwenyekiti wa Labour Party.
Tony Blair hakuwa Mwenyekiti wa Labour Party.
ujinga huu uko Chadema tu.
 
Kanda2
kweli wewe kichwa maji.
Mzee Mtei hajasema kwamba Mbowe ana haki ya kugombea Urais mwakani na wengine hawana.Wote tunafahamu kwamba Mbowe ndiye aliyegombea 2005 na tulitarajiandiye angegombea 2010 na ndio maana hata humu JF hili limekuwa likijadiliwa sana na hata wengine kushauri Dk Slaa ndio agombee 2010 kwani yeye ana haki peke yake? Na hata kwa upande wa chama chako CCM tunafahamu JK ndiye atakayegombea 2010 kwani yeye ana haki?Acha uvivu wa kufikiri Bwana Mkubwa.
Kila mmoja ana haki ilimradi tu atimize matakwa ya kikatiba ya chama husika na ya nchi pia.[/QUOTE]
CCM ATAGOMBEA JOHN SHIBUDA AMESHATANGAZA.HUO USULTAN WA MTU KUOGOPWA UKO CHADEMA TU.
 
kweli kabisa Mzee huyu anamchezo wa kulazimisha na kuwazuia wagombea wenye uwezo.
kamzuia Zitto Kabwe.
kalazimisha Kafulila afukuzwe.
 

Mkuu soma vizuri post yangu. Kuhusu CCM nilisema wagombea wao wanaishia kuwa wenyekiti. Au sija sema hivyo? Na hao wagombea wa nje ya nchi hawana nafasi kwa sababu mimi naongelea kwa tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…