johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasemekana Chadema itatangaza utaratibu wa Mapokezi ya Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu anayetakiwa kuwasili hivi karibuni
Tundu Lisu anaweza kushukia KIA kisha kusindikizwa na msafara mkubwa hadi Dar es salaam au atashukia Zanzibar na kusindikizwa na msafara mkubwa wa Mashua hadi Dar es salaam
Kila la kheri Chadema
Tundu Lisu anaweza kushukia KIA kisha kusindikizwa na msafara mkubwa hadi Dar es salaam au atashukia Zanzibar na kusindikizwa na msafara mkubwa wa Mashua hadi Dar es salaam
Kila la kheri Chadema