Elections 2010 CHADEMA Kutumia 5bn/- tu Kwenye Uchaguzi!


here again na ucgafuzi wako..Hivi hizi fujo zako zinakusadia nini wewe?kwanini usifanye mambo yako,hivi utashindana na CHADEMA na Mbowe utaweza?Unapotezam muda wako buree na kujipa presha ambayo ungeweza kuiepuka.Huwezi kushindana na Mbowe hata kidogo,ulishashindwa kitambo..
 
Sijui JK atakuja na kaulimbiu ipi this time, maana alikuja na ile ya MAISHA BORA KWA KILA MTZ, baada ya kuona hajawaletea maisha bora watz akabadili usemi, eti MAISHA BORA HAYAJI KWA KUKAA KIJIWENI!

Au Maisha bora hayaji kwa kumsubiri KIKwete ,changamka chukua chako mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…