Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,ukisikia visingizio kuhusu karatasi basi ujue hadaa kuhusu kalamu maalum kupiga kura inakuja.
Hili si geni,ikifika kipindi karibu na kupiga kura lazima Chadema waibuke na jipya ikiwa ni mbinu ya kujiandaa kisaikolojia.
Je Chadema wanaamini kalamu zitakazotolewa na Tume ya uchaguzi kupigia kura?mwaka 2015 wafuasi wa Chadema walitumia kalamu zao wakiamini kuwa kalamu za NEC zilikuwa "kinyume" na mgombea wao.
Ni suala la muda tu.