Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Hoja za kitoto kabisa
Chadema hawana hoja zinazoweza kuwashawishi wapiga kura kuwachagua.Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,ukisikia visingizio kuhusu karatasi basi ujue hadaa kuhusu kalamu maalum kupiga kura inakuja.
Hili si geni,ikifika kipindi karibu na kupiga kura lazima waibuke na jipya ikiwa ni mbinu ya kujiandaa kisaikolojia.
Je Chadema wanaamini kalamu zitakazotolewa na Tume ya uchaguzi kupigia kura?mwaka 2015 wafuasi wa Chadema walitumia kalamu zao wakiamini kuwa kalamu za NEC zilikuwa "kinyume" na mgombea wao.
Ni suala la muda tu.
Una maana gani ni hii ni "Suala la muda tu"?Ni suala la muda tu.
Chadema hawana hoja zinazoweza kuwashawishi wapiga kura kuwachagua.
Watanzania wako huru, wao wanaenda kuwaambia watawaletea uhuru! CCM inawaambia vitu specific ilivyofanya na inavyopanga kufanya. Wasilaumu kalamu,obviously CCM itashinda...
una sifa za kijinga sana wewe, kutwa upo humu kuandika ujinga, ama ndio una subiri uteuzi...mwaka huu iwe kwa maji ama damu nchi hii hatutaki irudi mikononi mwa wanyang'anyiTutawandika hata watumie kalamu za Robert
Kilichotokea KIGAMBONI kinatokea TanzaniaTutawandika hata watumie kalamu za Robert
Hujambo Pisi Kali?Tutawandika hata watumie kalamu za Robert
Nani? Bia Yetu Mke wangu?Hujambo Pisi Kali?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Mmeishiw logical mnakuj n empirical ccm ni uchfu
Rudi nyumbani kumenoga.Duh hatari sana
una sifa za kijinga sana wewe, kutwa upo humu kuandika ujinga, ama ndio una subiri uteuzi...mwaka huu iwe kwa maji ama damu nchi hii hatutaki irudi mikononi mwa wanyang'anyi
nijenge hoja kwa msingi upi wa jamaa huyo????Kamanda jenga hoja