Uchaguzi 2020 CHADEMA kutumia kalamu maalum kupiga kura?

Chadema hawana hoja zinazoweza kuwashawishi wapiga kura kuwachagua.

Watanzania wako huru, wao wanaenda kuwaambia watawaletea uhuru! CCM inawaambia vitu specific ilivyofanya na inavyopanga kufanya. Wasilaumu kalamu,obviously CCM itashinda...
Yani nikiona bongo fleva wanavyonyang'anyana peremende za CCM halafu kule Nigeria wasanii wana mahela lakini bado wanatumia ushawishi wao kuchochea mabadiliko kwenye jamii na mifumo ya nchi nasikia hasira mpka natamani kupiga ngumi ukuta…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mabadiliko ni Tundu?acha masihara dogo
 
Ukisikia Mfa maji hutapa tapa, basi ndio hawa CHADEMA naona wameanza kutapa tapa pia.

Ishara ya anguko kubwa la October 28, Ndani ya vituo vya kupigia kura.
 
Hata hivyo ni muhimu kuenda na kalamu zetu wenyewe ili mradi hakuna kinachoharibika.
 
Chadema hawana hoja zinazoweza kuwashawishi wapiga kura kuwachagua.

Watanzania wako huru, wao wanaenda kuwaambia watawaletea uhuru! CCM inawaambia vitu specific ilivyofanya na inavyopanga kufanya. Wasilaumu kalamu,obviously CCM itashinda...
Kama Uhuru,upo mbeleko lukuki za Nini kukibeba chama mbogamboga.
 
Mkuu, jibuhi hoja ya CHADEMA, ni nani amepewa zabuni ya kuchapisha hizo karatasi, je amewashinda wengine kwa vigezo gani?

Hii ni tenda ya umma na hizo hela zinazokwenda kutumika ni za watanzania.....

Uchaguzi HURU na HAKI unaanzia kwenye vifaa vitakavyotumika kama huelewi sasa wasimulie na wenzako hapo Lumumba.
 
Chadema hawaishiwi lawama bwashee.
waowanalalamikia kila jambo.
 
Kwanza utaratibu huo hauko kisheria, hivyo NEC haitaururhusu. Pili ni mbinu na mipango ya viongozi wa juu wa CHADEMA akiwamo mgombea wao Lissu, kuwaibia wana CHADEMA pesa zao kwa kusema wamenunua KALAMU MAALUM na kuziwekea bei za ajabu ajabu kwa nia na lengo ya kupiga hayo mahela ya CHADEMA, vinginevyo ni wizi wa mchamna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…