CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

Mimi na wewe nani anademka. Unaujua undani wa familia ya PROF. Balegu(RIP) au kimbelembele kama STEVE NYERERE sio????
Unajuaje kama wanafamilia wametaka ufaragha wa taarifa ya mpendwa wao.
Piga kimya wewe.
Ni sawa kabisa- UNATAKA KUTWAMBIA JPM HAKUWA NA FAMILA? HAKUITAJI FARAGA?
 
Lkn alikuwa kiongozi wa umma ujue!!!?
Prof Baregu alikuwa kiiongozi wa chama sio kiongozi kitaifa SERIKALINI ivyo ugonjwa wake ni suala la kichama sio kitaifa. Hili nalo kueleweka ni gumu?
Ndio maana mwendazake aliwaita wanyonge,ujinga wa watu ni mwingi mno yaani elimu inahitajika sana. Elimi,elimu,elimu
 
Mkuu wanachama wote wa CHADEMA mlijua anaumwa na amelazwa?
 
Wanachama wote wa CHADEMA mlijua Mjumbe wa Kamati Kuu alikuwa anaumwa na amelazwa?
 
Ata kuandika tu haujui! The level of understanding might be below average ,please wake up
Mkuu usihamishe goli- nijibu tu watu waelewe kupitia jibu lako kwangu
 
Lkn alikuwa kiongozi wa umma ujue!!!?
Kupitia kamati nahakuwa na mamlaka kutoa tamko kwa umma bila ya katibu mkuu au mkiti.
Msitumie nguvu kwenye hoja za uongozi na mamlaka
 
Nakubaliana na wewe member, lkn hao wanachama wenu wa cdm mnawasiliana kwa platform ipi? Mbona umati mkubwa wa wanachama wanahoji pia?
Lingine ni kuwa, kiongozi wa chama ni kiongozi wa umma. Maana wanachama ni umma. Si familia. Na ndiyo maana mambo mengi ya chama yanafanyika wazi kama mbowe anavyozunguka sasa mijini na vijijini.
 
Kupitia kamati nahakuwa na mamlaka kutoa tamko kwa umma bila ya katibu mkuu au mkiti.
Msitumie nguvu kwenye hoja za uongozi na mamlaka

Msimdogoshe, yule alikuwa kiongozi wa umma. Ndiyo maana mara nyingi tu alikuwa kwenye majukwaa akihutubia.
 
Mbona Kassim alitudanganya kuwa John anachapa kazi na kazungukwa na mafaili, kumbe alikuwa mgonjwa tuu, je mliutaarifu umma?
 
Kupitia kamati nahakuwa na mamlaka kutoa tamko kwa umma bila ya katibu mkuu au mkiti.
Msitumie nguvu kwenye hoja za uongozi na mamlaka

Msimdogoshe, yule alikuwa kiongozi wa umma. Ndiyo maana mara nyingi tu alikuwa kwenye majukwaa akihutubia.
 
Kwa hili la BAREGU kweli hata mimi inanitia shaka kuhusu muunganiko wa Chadema maana hadi anafariki hamna taarifa zozote kwa wadau, au mmeanza kuiga kwa wazee wa lumumba!
 
Msimdogoshe, yule alikuwa kiongozi wa umma. Ndiyo maana mara nyingi tu alikuwa kwenye majukwaa akihutubia.
Kwani unaijua katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu aina ya kiongozi ambae umma unapaswa kutaarifiwa,tuanzie hapa.
Mara kadhaa wabunge wa CCM wamefariki na hatukuwa tumetaarifiwa kuugua kwao, marehemu Mzindakaye kafariki juzi tu hapa,umma ulitangazia kuugua kwake au kifo chake?Hapa hakuna hoja ya maana ni vihoja na hasa kutokuwa na uelewa wa katiba za vyama vingine ni tatizo
 
Kwa hili la BAREGU kweli hata mimi inanitia shaka kuhusu muunganiko wa Chadema maana hadi anafariki hamna taarifa zozote kwa wadau, au mmeanza kuiga kwa wazee wa lumumba!
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naongea logic tu na ukweli na sio ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…