CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

Niliona 'press release' ya Chadema iliyotolewa na Katibu Mkuu ikisema 'wanasikitika kutangaza kifo cha Profesa Baregu'. Labda kama kusema hivyo 'siyo kuutarifu umma' hapo naweza kukubaliana nawe.
 
Mkuu usihamishe goli- nijibu tu watu waelewe kupitia jibu lako kwangu
Ok ni hivi, Prof. Baregu mpaka anafariki hakuwa kiongozi wa chama wala serikali ivyo kuugua kwake ni suala la kifamilia na sio la umma. Na pia mlitakiwa mumpende akiwa hai sio unafiki unaoonekana sasa,tuache marehemu apumzike na tusimtumie kama hoja ya kisiasa,huu pia ni ujinga na kukosa utu.
 
Labda uniambie alikuwa hana wadhifa wowote mpaka anapata umauti kama alivyotaja Mnyanyembe wa Mboka, Nitakuwa upande wako.
 

Huko kwenye kamati kuu Baregu pekee ndio amewahi kuumwa? Mbona wengine pia wameumwa na hatukupewa taarifa? Sasa hivi taarifa zake zinatolewa kwakuwa amefariki, lakini hakukuwa na ulazima wowote wa kutoa taarifa zake za kuumwa as if ni mtendaji ambaye kuumwa kwake kuna athari za moja kwa moja na shughuli za chama. Huyo mbwiga mwenzako ameichukulia taarifa ya kuumwa ya Baregu ni sawa na ya rais. Ama huelewi upotoshaji wake uko wapi?
 
Mkuu naona mishipa yako ya aibu na kumbukumbu imeshakatika na matokeo yake- umekuwa a SHAMELESS LIAR
 
Mbona Kassim alitudanganya kuwa John anachapa kazi na kazungukwa na mafaili, kumbe alikuwa mgonjwa tuu, je mliutaarifu umma?
alidanganya kwenye taarifa yake. Nyie kwenye ukimya wenu- Baregu yuko wapi?
 
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mkurugenzi wa Itikadi na Uhusiano wa kimataifa wa Chadema, John Mrema amesema chama kitatoa taarifa rasmi taarifa baada ya kikao na wanafamilia.
 
 
Wangekutaarifu ungepeleka dawa au Kuc hangia matibabu mawazo ya NZI WA KIJANI NI SHIDAA
 
Hata sijui unaandika nini, unatetea nini.
 
Wangekutaarifu ungepeleka dawa au Kuc hangia matibabu mawazo ya NZI WA KIJANI NI SHIDAA
JPM mlikuwa na dawa ya kumpelekea mlipokuwa mnadai muambiwe aliko?
 
Kwa Magufuri,Pole pole na Bashiru huo waraka tusingeuona maana wale ni wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…