CHADEMA kuvuana nguo hadharani ni ushahidi kuwa bado Chama hakijakomaa

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
vitendo vya kudhalilishana, kutukanana na kuvuana nguo za ndani hadharani ni ushahidi tosha kuwa Chadema bado haijakomaa.

Uchaguzi wa ndani tu wanaumbuwana na kutukanana hadharani, je Wakipewa Dola si watauwana wote!!!

Wao kwa wao wanatukanana, hawaheshimiani, ngumi mkononi yaani uhuni mptupu.

Yaani kila mtu anamasharubu, huelewi kiongozi ni yupi?!!! kila mtu anaitisha press!!!! hiyo ndio chadema hakuna adabu wala heshima.

Ila tunawatakia uchaguzi wa amani.
 
Kukemea rushwa leo imekuwa ni jambo la kihuni na lisilopaswa kufanywa hadharani?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Miaka yote humu kuna tunaosema
Hao ni ndani ya futi sirq

Haswaa tangu Dr. Slaa aondoke ndio hayooooo na bado...
 
Kukemea ufisadi na kutaja bila kuuma uma maneno kwamba Abdul alileta koba kuhonga taasisi ya Cdm ili kuinyamazisha, wasilete fyoko fyoko kwa Serikali kwako ni poa sana na kwamba kwako hayo ni matusi?

Machawa muwe mnakuja na hoja zenye vichwa na miguu basi.
 
Unaishi wàpi wewe? Unataka nyumbu wawe na akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…