Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Yees. Na kasema watatakiwa wathibitishe mahakamani uanachama wao.Hapo dawa ni kuwauliza namba zao za kadi ya uanachama tu
Unakuta wengi kama sio wote hawana
Hii ifanyie kwenye Kanda nyingine pia ili kukomesha hiyo tabia inayochipua kwa kasiYees. Na kasema watatakiwa wathibitishe mahakamani uanachama wao.