Zanzibar 2020 CHADEMA kuweka Wagombea katika majimbo yote ya Zanzibar

Zanzibar 2020 CHADEMA kuweka Wagombea katika majimbo yote ya Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni.

Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
 
Ukitaka kujua kwamba viongozi wa chadema ni waganga njaa na wababaishaji ni hawa kina Mwalimu. Mara yupo kinondoni,sasa anagombea kikwajuni, hana jimbo maalum, halafu pembeni anapinga muungano
 
Yote ni Tanzania mkuu. Hajavunja sheria

Ukitaka kujua kwamba viongozi wa chadema ni waganga njaa na wababaishaji ni hawa kina Mwalimu

Mara yupo kinondoni,sasa anagombea kikwajuni,hana jimbo maalum,halafu pembeni anapinga muungano
 
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni.

Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
Zanzibar siyo nchi in Mizengo's voice
 
Back
Top Bottom