J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 14, 2020 #1 Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni. Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni. Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Jul 14, 2020 #2 Ukitaka kujua kwamba viongozi wa chadema ni waganga njaa na wababaishaji ni hawa kina Mwalimu. Mara yupo kinondoni,sasa anagombea kikwajuni, hana jimbo maalum, halafu pembeni anapinga muungano
Ukitaka kujua kwamba viongozi wa chadema ni waganga njaa na wababaishaji ni hawa kina Mwalimu. Mara yupo kinondoni,sasa anagombea kikwajuni, hana jimbo maalum, halafu pembeni anapinga muungano
Lord Diplock MR JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,393 Reaction score 3,237 Jul 14, 2020 #3 Habari njema kwa kweli wachukue majimbo na wadi zote ni wakati sasa wa CHADEMA kuwa chama cha kitaifa
Habari njema kwa kweli wachukue majimbo na wadi zote ni wakati sasa wa CHADEMA kuwa chama cha kitaifa
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 14, 2020 #4 Salumu Mwalimu gombea kinondoni hapo ushindi ni Asubui
D DidYouKnow JF-Expert Member Joined Jul 28, 2019 Posts 1,229 Reaction score 1,950 Jul 15, 2020 #5 Yote ni Tanzania mkuu. Hajavunja sheria kabombe said: Ukitaka kujua kwamba viongozi wa chadema ni waganga njaa na wababaishaji ni hawa kina Mwalimu Mara yupo kinondoni,sasa anagombea kikwajuni,hana jimbo maalum,halafu pembeni anapinga muungano Click to expand...
Yote ni Tanzania mkuu. Hajavunja sheria kabombe said: Ukitaka kujua kwamba viongozi wa chadema ni waganga njaa na wababaishaji ni hawa kina Mwalimu Mara yupo kinondoni,sasa anagombea kikwajuni,hana jimbo maalum,halafu pembeni anapinga muungano Click to expand...
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Jul 30, 2020 #6 johnthebaptist said: Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni. Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama Click to expand... Zanzibar siyo nchi in Mizengo's voice
johnthebaptist said: Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni. Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama Click to expand... Zanzibar siyo nchi in Mizengo's voice