Uchaguzi 2020 CHADEMA kuweni makini sana na Uchaguzi huu

Sina

Sina Shaka na uchaguzi huu pamoja na yote hayo mungu wangu kaisha nitoa hofu ,kwa kweli sikufunga siku kumi nne bure ,Asante Sana jf mungu awabariki jukwaa murua Sana, mnanifanya kuwa na raha mda wote
 
HILI NI JUKWA LA "GREAT THINKERS". NAONA LITAKUJA JIPYA LINGINE LA "GREATEST THINKERS" KWA UHITAJI WAKE NI MKUBWA KUFUATANA NA HII MICHANGO YETU KWA SASA.
 
Jamani siyo kwa mahaba haya. Wananchi leo wamemtamkia Magufuli live kwa sauti moja kwamba wanataka atawale miaka 15. Siyo propaganda niko live hapo TBC yuko njiani anaenda kwenyemkutano Babati mjini.
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Tayari kuna kura za CCM wamepiga kishetani zimefichwa watatumia Polisiccm kuwafukuza mawakala wa vyama vingine kupenyeza kura haramu za kishetani
 
Tulinde ushindi wa CDM tuitoe CCM sasa kwani wameharibu nchi yetu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…