Nafikili wazo la wapinzani kuungana ni muda muafaka sana; hawa majambazi hatutawatoa kwa syle hii ya kudonoa majimbo, kuna baadhi ya majimbo wapinzani wamenyang'anyana ushindi; kura zao zingejumuishwa pamoja hakika majambazi wangekuwa wana haha kukimbia nchi sasa.