kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Ubongo wako ndiyo ulisha ganda lkn cdm bado inazidi kuimarika kuliko jana
In God we Trust
Mbowe aliwaambia hao wabunge wasitoke nje ya dodoma ili kma wana maambukizi wasipleke kwa wanachi, imekuwaje tena wengine waende dar?Chadema wanacheza ngoma ipi ya Magufuli.
-Kuwajadili kina Silinde na wenzake?
- Baadhi ya wabunge wake kuja Dsm?
Mimi naona wao CCM, na Spika wao, plus Magufuli ndio wanaicheza ngoma ya CDM; kutwa kuwajadili, wanataka kujua kila linalofanywa na wabunge wa CDM, na kuwafuatilia wapi walipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani akupe bilioni? Stay with your regional based politics, yaani kulalamika nyuma ya keyboard ulipwe billion!Mimi hata wanipe mabilioni kamwe siwezi kuisifia ccm
In God we Trust
Utakufa wewe na watoto wako kabla ya CDM kufa!
Ongeza hapo na Magufuli,dikteta lenye PhD fake!Dj Zero chama kimemshinda ila anaogopa ku surrender, tulimshauri sana dj zero akawa mbishi hadi legacy yake imechafuka.
Lakini sishangai ma dikteta wengi uwa wabishi hadi utoka kwa fedheha,mfano Omar Ali Bashir,Saddam, Bokassa etc
Jikite kwenye mada mkuu.Ongeza hapo na Magufuli,dikteta lenye PhD fake!
Kwa hiyo hao wabunge kutoka ndio wamecheza ngoma ya CCM?!Mbowe aliwaambia hao wabunge wasitoke nje ya dodoma ili kma wana maambukizi wasipleke kwa wanachi, imekuwaje tena wengine waende dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
DJ makengeza aendelee hivi hivi kuongoza chama kidikteta na kuendelea kuwa naChadema inabidi wafikiri beyond horizon. Ilivyo ni kwamba serikali sasa hivi inatumia dola na fedha kuwafanya wapinzani wakate tamaa. Inachotakiwa kufanya Chadema ni kutumia mbinu za kijasusi. Iwaruhusu wabunge na mashabiki wake kuimba mapambio ya kumsifia Mr Zero IQ na kujiunga na harakati zake. Baadae wamlie timing na ku-pull triger wakati muafaka utakafika.
Jiwe ndiye yuko madarakani,jeuri aliyebweteka kama nchi ni yake!Siku asipokuwa na hayo madaraka atazomewa sana na watanzania wengi!Aombe Mungu asiishi kuishuhudia siku hiyo!Ajiandae kisaikolojia na Konda wake a.k.a uno!Jikite kwenye mada mkuu.
Dj zero na uliyemtaja nani yupo madarakani muda mrefu?
Jibu swali kwanza.Jiwe ndiye yuko madarakani,jeuri aliyebweteka kama nchi ni yake!Siku asipokuwa na hayo madaraka atazomewa sana na watanzania wengi!Aombe Mungu asiishi kuishuhudia siku hiyo!Ajiandae kisaikolojia na Konda wake a.k.a uno!
Makambale Yana ndevu yoteChadema ni genge la wakora ,wamejaa wezi ,wavuta bangi na majambazi ,ni kikundi cha maharamia ,wakuogopwa kama ukoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto za misukule huwa hazina maanaJiwe ndiye yuko madarakani,jeuri aliyebweteka kama nchi ni yake!Siku asipokuwa na hayo madaraka atazomewa sana na watanzania wengi!Aombe Mungu asiishi kuishuhudia siku hiyo!Ajiandae kisaikolojia na Konda wake a.k.a uno!
Halafu akuwekee na wasifu wa elimu ya DJ zeroJibu swali kwanza.
Dj zero na uliyemtaja wamekaa madarakani kila mmoja kwa muda gani? Tuanzie hapo then tuendelee.
Jiwe yuko madarakani mwaka wa 5 huu!Mbowe hajawahi kuongoza nchi!Jibu swali kwanza.
Dj zero na uliyemtaja wamekaa madarakani kila mmoja kwa muda gani? Tuanzie hapo then tuendelee.
Mbowe ajawahi kuongoza nchi lakini ameongoza chama kwa muda gani hadi sasa?Jiwe yuko madarakani mwaka wa 5 huu!Mbowe hajawahi kuongoza nchi!
Nasema hivi,siku Jiwe akitoka Madarakani ajiandae kwa fedheha kubwa sana!Nchi italipuka kwa nderemo na vifijo!Au hapa katikati Mungu akifanya yake,mtaani itakuwa kama Tz imechukua kombe la dunia!
Muda ni mwalimu mzuri!Halafu misukuke huwa ipo lumumba!Ndoto za misukule huwa hazina maana
🤣🤣Halafu akuwekee na wasifu wa elimu ya DJ zero