Mifano hapo uliyoweka ni marais walioondoka madarakani kwa aibu na fedheha kubwa!Naona Jiwe akipitia humo humo kwani yuko kama hao!Mbowe ajawahi kuongoza nchi lakini ameongoza chama kwa muda gani hadi sasa?
Nani akupe bilioni? Stay with your regional based politics, yaani kulalamika nyuma ya keyboard ulipwe billion!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dj Zero chama kimemshinda ila anaogopa ku surrender, tulimshauri sana dj zero akawa mbishi hadi legacy yake imechafuka.
Lakini sishangai ma dikteta wengi uwa wabishi hadi utoka kwa fedheha,mfano Omar Ali Bashir,Saddam, Bokassa etc
Utakufa wewe na watoto wako kabla ya CDM kufa!
Jikite kwenye mada mkuu.
Dj zero na uliyemtaja nani yupo madarakani muda mrefu?
Jibu swali hapo nimeweka viongozi waliokaa muda mrefu haijalishi ni wa chama au nchi, dj zero ni mmoja wapoMifano hapo uliyoweka ni marais walioondoka madarakani kwa aibu na fedheha kubwa!Naona Jiwe akipitia humo humo kwani yuko kama hao!
Nyerere aliongoza TANU na baadaye CCM kwa miaka mingapi vile?
Kwa hiyo hao wabunge kutoka ndio wamecheza ngoma ya CCM?!
Kama ni hivyo, mbona CCM bungeni bado wanatapatapa!.
Hapo ni nani anaecheza ngoma ya mwenzie?
If that could be the case, CCM wange "relax" but mbona bado wanahangaika, hawatulii bungeni!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema ni genge la wakora ,wamejaa wezi ,wavuta bangi na majambazi ,ni kikundi cha maharamia ,wakuogopwa kama ukoma
Sent using Jamii Forums mobile app
DJ makengeza aendelee hivi hivi kuongoza chama kidikteta na kuendelea kuwa na
washauri wake wale wale malesbians mwakani ataongoza nchi
Momba walikokuwa wanapanga kukusimamisha wamepata substitute wanaibembeleza kuondoka Chadema waipe igombee na viti maalum hukatizi tena.
Wewe endelea kukata nyonga
Nyerere mbona hujamweka kwenye hiyo list?Nimekuuliza aliongoza Tanu na baadaye CCM kwa miaka mingapi?Jibu swali hapo nimeweka viongozi waliokaa muda mrefu haijalishi ni wa chama au nchi, dj zero ni mmoja wapo
Naomba JF idumu milele.Nyerere mbona hujamweka kwenye hiyo list?Nimekuuliza aliongoza Tanu na baadaye CCM kwa miaka mingapi?
Viongozi madikteta kama Jiwe hupata tabu sana wanapoondoka madarakani!
Nyerere yupo hai?Nyerere mbona hujamweka kwenye hiyo list?Nimekuuliza aliongoza Tanu na baadaye CCM kwa miaka mingapi?
Viongozi madikteta kama Jiwe hupata tabu sana wanapoondoka madarakani!
Kwahiyo kama hayuko hai?Nyerere yupo hai?
Tumuongelee dj zero ambaye yupo haiKwahiyo kama hayuko hai?