CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

Ukiona hivyo ni dalili ya kukosa hekima.

Huwezi kusifiwa kwa kuamua kupambana na jitu ambalo hulipendi.Ukikimbia tutakuona una akili.

Kurudi nyuma sio dalili ya udhafu,ila ni mkakati wa kujipanga.

Kamwe hamuwezi kushindana na mtu ana dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…