jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Umeelewa mada?Ukiwa unajitambua,CCM haiwezi kuwa chaguo mandala labda ACT.
Sawa.Ukiwa unajitambua,CCM haiwezi kuwa chaguo mandala labda ACT.
Inakera sana!Siasa za Tz nifitina tupu sio ccm wala chadema
salary, hoja ya mleta uzi ina mamtiki sana, wasilete kutoelewana kwenye chama. This is very bad!Ukiwa unajitambua,CCM haiwezi kuwa chaguo mandala labda ACT.
Mkuu Kubenea kama alivyofanya Mnyika hakuna aliyemzuia kuchukua fomu , na inaweza kuwa ni kiroho safi tu , tofauti na mleta mada anavyotaka kutuaminisha , kwa sasa hakuna mtu kuachiwa jimbo peke yake , sisi Kyela tulikuwa wagombea zaidi ya 10 , wengine wakajipunguza wenyewe hatimaye tukabaki watano , ambapo mmoja ameshinda , kwahiyo haya mambo sometimes yanakuwa hivyo mkuusalary, hoja ya mleta uzi ina mamtiki sana, wasilete kutoelewana kwenye chama. This is very bad!
...naam!
Nawashangaa ndugu zangu Chadema kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote.
Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa kutanguliza maslahi ya chama mbele.
Ni dhahili pamoja na Kubenea kutokuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea kwa awamu nyingine lakini ni ukweli analo kundi kubwa litalomuunga mkono huko aelekeako kwa Zitto na hali hiyo itapelekea kura za wapinzani kugawika katika jimbo hilo na itapelekea CCM kujishindia mapema tu.
Boniface na asahau kushinda jimbo hilo kwa mgawanyiko huo!
Muda utaongea.
Sio ubungo tu hata kwingine mfano Geita mjiniNawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote.
Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa kutanguliza maslahi ya chama mbele.
Ni dhahili pamoja na Kubenea kutokuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea kwa awamu nyingine lakini ni ukweli analo kundi kubwa litalomuunga mkono huko aelekeako kwa Zitto na hali hiyo itapelekea kura za wapinzani kugawika katika jimbo hilo na itapelekea CCM kujishindia mapema tu.
Boniface na asahau kushinda jimbo hilo kwa mgawanyiko huo!
Muda utaongea.
...imekuwaje huko pia,fafanua mzee.Sio ubungo tu hata kwingine mfano Geita mjini