Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Sabato Njema.
Leo nimeona niulize ndugu zetu wa Chadema swali,
Kwanini hadi sasa hamjampatia uanachama Dr Shika?
Ni Mwanaharakati anayekubalika na wengi ndani ya chama chenu. Pia anazo sifa za kitaaluma za uhakika mbali na kuwa mwanaharakati asiyeogopa hata vyombo vya Dola na asiyeogopa kusema ukweli. Nadhani huyu anafaa sana kuendeleza harakati za ''kuikomboa''nchi yetu.
Sijui kwanini hajapewa nafasi
Tusaidiane majibu
Karibuni