johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo wamekuachia ukaichukue wewe,hapo unaonaje. Bado hapa utaendelea kuwachongea kwa msajili.Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.
Pili, jaji Mutungi atujuze kama Chadema hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa?
Tatu, je ni halali Chadema kubandika picha ya Tundu Lisu kwenye ofisi zao hali iliyopelekea J J Mnyika naye kubandika picha yake ofisi za makao makuu?
Tukumbuke, Vyama vya siasa ni mali ya Umma.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Vyama vya siasa si mali ya umma, vinginevyo baadhi visingekatazwa kufanya siasa kama usajili unavyotaka. Chadema ni mali ya wanachama ndiyo sababu wanawindwa kila mahali mpaka kwenye majumba ya Ibada.Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.
Pili, jaji Mutungi atujuze kama Chadema hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa?
Tatu, je ni halali Chadema kubandika picha ya Tundu Lisu kwenye ofisi zao hali iliyopelekea J J Mnyika naye kubandika picha yake ofisi za makao makuu?
Tukumbuke, Vyama vya siasa ni mali ya Umma.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Nakushauri ungeutumia muda wako kumpeleka shosti wako Kokobichi akale mihogo ya kukuanga, mbona harusi yako jlichangiwa pesa japo unafanya kibarua!Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.