Toga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 586
- 604
Chadema kilikuwa kimbilio la vijana wengi wasomi nikikumbuka vijana wengi wasomi kimbilio kilikuwa Chadema lakini kwa sasa naona Chadema inaelekea kuwa CUF ilio changamka shupazeni TU shingo ndio mtajua hamjui soft politics kwa sasa hazitakiwa kabisa mtajikuta mmebaki wawili tunamhitadi tundu lisu kwenye siasa za weka ugoko niweke chuma bila hivyo tutatekwa vijana wote wenye mlengo tofauti na ccm