CHADEMA lazima Imshtaki Nape

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Matusi na khashfa alizorusha Iringa leo, lazima Wana Sheria wa Chadema wampeleke Mahakamani.

Maadamu hizi kashfa zimetolewa kwenye Jimbo la Msigwa, basi huu ni ushahidi wa kwanza kabisa mahakamani mwezi wa 11 kama Msigwa atashindwa. Msigwa hii video lazima uirekodi na wewe na kuiandaa kwenda Mahakamani.

Mbowe, Mtei na wengine wote waliotajwa kwenye Video hii, wajipange na kumfikisha Nape Nnauye Kizimbani.

 
Ushahidi wote uko hapa.....

 
Last edited by a moderator:
We kiazi kwanini ushahidi wa mafisadi wakuu hamkuupeleka mahakamani na kila siku mkaishia kwenye majukwaa mnaimba kuwa mnao ushahidi?? Nyama mkebe we
 
wahaoni uitikiaji wa watu kwa wanachoongea ,kwani wafundishwi hilo ....wanaoshangilia ni wale wa mbele tuu ambao uwezekano mkubwa ni jumuiya ya ccm ....
 

Ushahidi wote uko hapa.....


Kwa hotuba ile ccm imejimaliza
 
Last edited by a moderator:
Mimba za kutungwa kwenye vilabu vya Gongo, Watoto wanakuwa ovyo kabisa. BOGAs.....

We kiazi kwanini ushahidi wa mafisadi wakuu hamkuupeleka mahakamani na kila siku mkaishia kwenye majukwaa mnaimba kuwa mnao ushahidi?? Nyama mkebe we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…