Chadema lazima tuchukue nchi endapo Mnyika atatuongoza vizuri

Chadema lazima tuchukue nchi endapo Mnyika atatuongoza vizuri

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
681
Reaction score
2,501
Mnyika naomba usikubali watu walioshindwa kuitoa CCM madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta CCM.

Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni, Bila kumsahau, Lipumba na Zitto kabwe na Maalimu Seif.

Tanzania Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo Wananchi niwawakilishi tu ila kwenye maamuzi hawapo.

Demokrasia ni watu. Hivyo lazima tutumie mbinu za kisasa kuitoa CCM, Mbowe na lipumba, Mbatia na Seif mmekosa mbinu mpya tunaomba mtupishe jamani.
 
Ebu taja hizo mbinu mpya itakayofanya kazi mbele ya policcm na tume isiyo huru!
 
Mnyika naomba usikubari watu walioshindwa kuitoa ccm madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta ccm.


Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni .,Bila kumsahau ,lipumba na zitto kabwe na Maalimu Seif.



Tz Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo wananchi niwawakilishi tu ila kwenye maamuzi hawapo.


Demokrasia ni watu. Hivyo lazima tutumie mbinu za kisasa kuitoa ccm , Mbowe na lipumba ,Mbatia na Seif mmekosa mbinu mpya tunaomba mtupishe jamani.
Umetaja watu ambao mnataka wawapishe, lakini mnaotaka kupishwa hamjitaji, wakipisha kutakuwa na akina Nani kuchukua hizo nafasi? Jitajeni majina tuwapime kama mnafaa.
 
Back
Top Bottom