Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Mbinu mpya?
Nchi ya social_media republic...
Ebu taja hizo mbinu mpya itakayofanya kazi mbele ya policcm na tume isiyo huru!
Unapiga kura, unapata 100% ya kura, zote, lakini mtu wa Jiwe anamtangaza aliyepata 0%, UNAFANYAJE hapo?Yes , Hawa wazee wetu wamekosa mbinu mpya zakuitokemeza sisiemu.
Unapiga kura, unapata 100% ya kura, zote, lkn mtu wa Jiwe anamtangaza aliyepata 0%, UNAFANYAJE hapo?
Umetaja watu ambao mnataka wawapishe, lakini mnaotaka kupishwa hamjitaji, wakipisha kutakuwa na akina Nani kuchukua hizo nafasi? Jitajeni majina tuwapime kama mnafaa.Mnyika naomba usikubari watu walioshindwa kuitoa ccm madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta ccm.
Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni .,Bila kumsahau ,lipumba na zitto kabwe na Maalimu Seif.
Tz Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo wananchi niwawakilishi tu ila kwenye maamuzi hawapo.
Demokrasia ni watu. Hivyo lazima tutumie mbinu za kisasa kuitoa ccm , Mbowe na lipumba ,Mbatia na Seif mmekosa mbinu mpya tunaomba mtupishe jamani.