Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Reform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla.
Moja ya sababu ya reform ni kutokuwepo kwa usawa wa mfumo na utendekaji kazi,reform mara nyingi inahisisha Changes katika itikadi na imani.
Tunaambieni wadau mnahitaji reform au changes?
Tusisahau reform zinaprocess zake mnapoamka nakuhitaji tu,ghafla itakuwa ni uongo lakini tuzingatie hapa reform ni itikadi.
Walamsiki
Hebu fafanua changes iwe tofauti na ulivyofafanua reform. Mimi ninaona reform ni rahisi kuliko changes, yaani marekebisho ni rahisi kuliko mabadiliko, hata hivyo kilio hiki si kipya mbele ya wezi wa kura, wizi umewakolea kiasi hawataki katiba mpya wala marekebisho ya tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe ambapo mgombea ndiye anaandaa tume na uchaguzi!Reform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla.
Moja ya sababu ya reform ni kutokuwepo kwa usawa wa mfumo na utendekaji kazi,reform mara nyingi inahisisha Changes katika itikadi na imani.
Tunaambieni wadau mnahitaji reform au changes?
Tusisahau reform zinaprocess zake mnapoamka nakuhitaji tu,ghafla itakuwa ni uongo lakini tuzingatie hapa reform ni itikadi.
Walamsiki
Inahitajika reforms ie.Real changes not business as usualReform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla.