fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Kwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna mkanganyiko kuhusu mahala sahihi pa kuapishwa kwani wengine wanasema ni katani na wengine kwa kurugenzi.
Ikumbukwe jana nilionya kuhusu maandalizi yenu ifikapo leo ila sikupata majibu ya kuridhisha toka kwa wadau.
Mawakala wa CHADEMA walioko humu mnaweza tupa updates ya kinachojiri huko maana kama mko serious basi muda huu mngepaswa kuwa sehemu husika mapema kabisa hata kama mtaapa hiyo saa tano asubuhi.
Kulalamika na kulia hakutasaidia kitu, dawa ni kuanza kushughulika mapema ili hao waapishaji wakose ajenda ya kuwafanyia figisu.