Uchaguzi 2020 CHADEMA, Mawakala wenu wako wapi muda huu?

Mawakala wa Chadema hawana hata nauli, mkuu alitafuna pesa za kampeni na michango ya wabunge. Chama kina hali mbaya sama.
Watakopwa kama wale wa 2015 hawajalipwa hadi Leo .Chadema waliwalaghai kuwa kafanyeni kazi ikiisha ndio tunawapa.Hawakupewa hata mia hadi leo
 
Acha ushamba wewe home boy ,daily naona unaandika ujinga ujinga wako humu,
kama unaweza kufanya unachotaka kufanya,unasita nini kufanya?

Unachukulia poa kihivyo siyo?
Si waendelee kufanya ndio utaona wanafanywa nini?
This is 2020 sio 2015, push ups hazina nafasi ni mwendo wa feni tuu
 
Pia fuatilieni kama viapo Ni katani au tarafani. Himizaneni kujua hilo haraka vinginevyo mmeliwa.
Tunapowaambia chadema kuwa uongozi wa chama unaanzia huku chini mashinani huwa hawaelewi....hawana mwenyekiti wa mtaa ahata mmoja, wakati wenzao CCm wameanza kupeana taarifa kuazia kwa balozi wa nyumba 10, na wanahakikisha wakala sio mamluki kwakuwa anajulikana tabia zake mtaa.
 
Hata wakati wa kumuondoa Amin kama tungekuwa na figisu figisu za aina hii tusingemuondoa.
Atatoka tuu kwa heri au Shari zitakazoletwa na NEC

Ushauri unaoishi
 
Kuwaapisha mawakala wa vyama ni takwa la kisheria na siyo jambo la hisani, japokuwa CCM inatumia vibaya kigezo hiki kwa vile tu vyombo vyake ndivyo vinahusika na suala hili!
Kama sio CCM kuivuruga nchi hii wala uoza huu wa kuanza kuwa na wasiwasi wa mawakala kuapishwa au kutoapishwa wala usingekuwepo!
 
Huu ubavu ndio haupo. Kama hadi sasa wabubge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 500 walikatwa na mwisho wa siku mkaja humu kulialia basi jua hata hilo nalo mtakuja humu kulialia
Wao wajaribu tu kutowapa viapo sisi ikifika tarehe 28 Kama kituo hakina wakala wa upinzani kura hazitapigwa mpaka apatikane na tuhakikishe yupo ndani ndio zoezi lianze

Huyu ni Lissu sio Lowassa.
 
Usiwalaumu CHADEMA. NEC ya Kaijage na NEC ya CCM lao moja. Kama NEC inapeleka taarifa sahihi CCM na kupeleka taarifa za uongo CHADEMA kwa makusudi, CHADEMA watajuaje? Ni hila za wazi. Siyo kwamba CHADEMA ni wazembe. Watanzania kama tunataka mabadiliko, tuyapiganie kwa damu.
 
Acha ushamba wewe home boy ,daily naona unaandika ujinga ujinga wako humu,
kama unaweza kufanya unachotaka kufanya,unasita nini kufanya?

Unachukulia poa kihivyo siyo?
Huyo ni keyboard warrior, kashashiba magimbi kwa shemeji yake
 
Subiri kwanza tumalize kunywa vitoko ndio tuende

(in lisu voice)
 
Huu ni wakati wa pesa kutumika [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na njaa lazima ulegee

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…