Pre GE2025 CHADEMA mbona hii hamkutonyesha? Kumbe ndiyo maana mikutano ya hadhara imekufa?

Pre GE2025 CHADEMA mbona hii hamkutonyesha? Kumbe ndiyo maana mikutano ya hadhara imekufa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
MAPITO HAYA NI MAGUMU, TUWAOMBEE Pamoja na kwamba siwapendi Chadema lakini haya waliyokutana nayo katika ziara yao mpaka wakaamu kuikatiza njian kwa madai ya kuishiwa mafuta ni mambo magumu mno, tuwaombee wapate kukubalika walau kidogo ili katika chaguzi zijazo wapate hata 10%

Duh! Samia kawamaliza kabisa, wangepiga hata nyimbo za Budagara kuvuta watu.
Hiki chama kimekwisha kabisa, kwisha habari yake
 
Hiyo ziara Lissu hakuwepo. Mbona hamna kumbukumbu na mna forge kwa ku edit picha mnaonekana hata wajinga zaidi?

Wakati wa hiyo ziara Lissu alikuwa USA. Kwahiyo hizo video ni fake.
 
Hiyo ziara Lissu hakuwepo. Mbona hamna kumbukumbu na mna forge kwa ku edit picha mnaonekana hata wajinga zaidi?

Wakati wa hiyo ziara Lissu alikuwa USA. Kwahiyo hizo video ni fake.
Bado hujasema....mpaka usemeeee
 
Back
Top Bottom