ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Luhaga Mpina ni mtu nondo kweli.
Ni mbunge mjenga hoja na mwana mapinduzi kweli kweli
Hata alivokuwa waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa Nondo na alifanya vyema kuzidi huyu wa Sasa.
Alikomesha uvuvi haramu, alikomesha uharamia ziwa Victoria ambapo wavuvi walikuwa sana na kuibiwa engine za boat ⛵ zao.
Ni mtu muadilifu, mstaarabu, mzalendo na mjenga hoja la kweli.
Katika bunge la Chama kimoja amekuwa mpinzani na kuwa challenge wabunge wenzake wote wa CCM.
Amekuwa sio mtu wa kuendesha kama wabunge wengine.
Kwa maarifa yake huko CCM atapigwa vita mno na atavuluwa uanachama wake, maana CCM hawapendi watu waelewa.
Luhaga Mpina ananikumbusha Kijana Deo Filikunjombe