Sasa hivi naona mnaelekea kumaliza nchi nzima kwa makongamano ya katiba mpya!
Lakini sioni kama kuna tija yoyote mlipoishapita pote wala wananchi hawana Habari na katiba mpya,
Mnafanya tu vituko mara mwende uwanjani na blauzi za katiba mpya, mara muingie kanisani na blauzi za katiba mpya,
Sasa nawauliza mkiishamaliza kuzunguka nchi nzima kutumbua pesa mnazochangisha watu kwa mgongo wa kutafuta katiba mpya nini kitafata
Hii nchi haiwezi kupata katiba mpya bila wananchi wenyewe kwa umoja wao kuamua, na ndo kwanza wananchi hawana hata habari na hayo mambo!
Nyie endeleeni kupiga pesa za watu