Uchaguzi 2020 CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu

Mkuu noana mgombea wa chama Chako cha zamani amebaki kutukana njia nzima kama mlevi wa gongo
 
Hata wao wanajua wanakaza shingo tu
 
Mleta Ni like Chadema time la siku nyingi nalijua hili .Mada zake nyingi Ni za kusifia Chadema sio chama kingine kiwe CCM au chochote
Zilete links tujiridhishe unayosema vinginevyo itakuwa ni porojo tu
 
Kila la heri mkuu.
Tahadhari: Unapohama au kuhamia chama chochote cha kisiasa fuata SERA. Watu huwa wanabadilika/kufa au kuhama.
Kwa sababu hii uliyoweka mbona utahama sana!

Hongera hata wewe mkuu kwa kutambua pia kuwa Lissu ni jembe!

Ama kweli hata mawe yanakiri!
 
Sera za chadema zilisifiwa pia na Nyerere, RIP. Wakati anafanya hivyo mwaka 1995 chama kikuu kilikuwa NCCR- mageuzi chini ya Lyatonga Mrema, Marando, Sengogo, Lamwai, Selasini, nk. Hivyo kama unamuheshimu Nyerere lazima utaheshimu na maoni yake pia.
 
Umechina Memba yuko humu toka long. Hizi sio Id fake mlizotumwa mataga
Hao ni wagumu kukubali ukweli. Ona mpaka bosi wao anapagawa jukwaani utadhani anafika kileleni?
Bado ndani ya siku hizi zilizobaki atapiga kelele "Nileteeni Lisuuu, nileteeni Lisuu" hadi watamnyang'anya mic wakijua tayari!
(Ona hapo chini clip [emoji116][emoji116])

Wakati nafanya maamuzi haya sikujua kama mawazo yangu yalikuwa ndani ya mamilioni ya washabiki wa CCM wengine. Lakini majuzi nikiwa kwenye shughuli zangu Kahama nilichoshuhudia kwa macho na kusikia kwa masikio yangu tena nikiwa sijagusa ka bottle ka jioni nikajiambia SASA BASI TENA CCM, imekwisha! Kama wapo wanaccm waliobaki huko ni wale waajiriwa kwa maana ya ajira ya Chama au paid vuvuzelas.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…