Ni ushauri wa bure kwa chadema,
mmemtukana sana hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao
sukuma gang. Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka
kwa shangwe!?
Msanii akiwa na skendo mbaya au nzuri kwake ni promo.
Chadema ina-loose reputation na credebility iliyojenga kwa miaka mingi
ikionekana kiongozi mkuu wake kapiga faru John