meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Aisee, wewe nini kimekutokea? Umeenda Chauma?Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
Watu wa CCM wao ndiyo vinara wa kueneza Propaganda za udini na ukabila... Sasa wanataka kuonesha kuwa Samia anashambuliwa kutokana na Uislamu wake.Dini imetokea wapi? Maana naona kila mwanaccm anaongea la kwake.
Hii nayo hoja😄😆😂Aisee, wewe nini kimekutokea? Umeenda Chauma?
Wakati Magufuli akiwa madarakani kila alipoenda alikuwa anasalimia salamu ya kikristo na kiisilamu, je ile ilimaanisha serekali inaendeshwa kidini?Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
CDM wamekuwa TOO LOW Kama unaukumbuka huu msemoAisee, wewe nini kimekutokea? Umeenda Chauma?
Chama kikichoporomoka kinaandamwa nakuogopwa? Akili mtu wanguNaona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
kwa hiyo mmeanza kuiga mbinu za Magufuli?Wakati Magufuli akiwa madarakani kila alipoenda alikuwa anasalimia salamu ya kikristo na kiisilamu, je ile ilimaanisha serekali inaendeshwa kidini?
Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
Nyie UWT ni wajinga sn, acheni watu wamuombe MUNGU wao mmeanze kufa mmoja mmoja mpka muishe
Kama serikali haina dini kwann imevunja na kufunga makanisa ya gwajima badala ya kushughulika na gwajima mwenyewe?Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
Cdm wamekuwa wakisali miaka yote. Nimekuonyesha upande wa serekali ambayo umesema haindeshwi kidini.kwa hiyo mmeanza kuiga mbinu za Magufuli?
CDM wamekuwa TOO LOW Kama unaukumbuka huu msemo
CCM ni genge la majangili tupuYani hata kusali tu CHADEMA haitakiwi. Ila Jana Shehe kuwapongeza walioichangia CCM sio kosa. CCM Wana unafiki wa Hali ya juu
Watu wa CCM wao ndiyo vinara wa kueneza Propaganda za udini na ukabila... Sasa wanataka kuonesha kuwa Samia anashambuliwa kutokana na Uislamu wake.
Kwani wakati Lissu anapigwa risasi Magufuli alikuwa ni Muislamu? Mbona CHADEMA ilikuwa inamkosoa kila uchao na uchwao?
CDM wamekuwa TOO LOW Kama unaukumbuka huu msemo
Kwa nini mnaalika viongozi wa dini kumuombea Rais/ nchi?Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.