4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla
Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la msingi kwenu
Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ?
Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi ya upigaji KWa sasa ni kubwa mno na awa wahuni izi pesa awaweki ndani, wanaweka nje ,hivyo ni lazima kuwa na mtandao imara na wakasi kuzirudisha ,
Sina shida na Rais , makam rais, pm, au mawaziri kutoka chama chenu shida ninayoiona mpaka Sasa
Ni Kama mnachelewa Sasa kwenye venting ya wabunge kwenye majimbo , fanyeni Ili mapema , Ili watu watarajiwa waanze kupiga jaramba katika majimbo yao, nakumbu tunataka kuwe na Bunge imara Ili likasimamie Serikali yenu vizuri
Naongea hivi KWa ujasiri mkubwa maana mna kibali na chapa kali ambayo hakuna wa kuigeuza , so yale sijui deep state ,sijui nini tupa kule ,Amin nini nawambia.
Chata hii kwenye kibali chenu ni ya moto , atakae shindana nayo ataondoka tu, imetoka wapi msiulize
Niwatakie maandalizi mema ya serikali ijayo chini ya chama chenu Cha CHADEMA