Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai!
Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa!
Sasa Nape Mosses Nnauye waambie Watanzania ni lini Baraza la Mawaziri lilijadili mkataba huo wa " kumuuzia" Mwarabu Bandari zetu !?
Kama Bandari ni suala la Muungano kwanini Waziri Kiongozi Abdulla anasema mkataba huo hautahusu Bandari za Zanzibar!?
Kama mkataba huo una manufaa basi hayo manufaa hayatakwenda Zanzibar pia ?!
Acheni kutanguliza matumbo yenu badala ya vichwa vyenu!
Leo hii DP WORLD wataendesha Bandari Kavu Rwanda na mizigo itakayopitia Bandari ya Dar inaweza kufanywa CIF Rwanda!
Kwa ufupi ni kwamba shughuli yote ya kusafirisha Containers /Makasha inaweza kufanywa na DP World na biashara yote ya Malori kwa Watanzania ikafa mkabaki kutoa macho tu !
Rais Paul Kagame leo atakuwa anatucheka tu kwa uzuzu wetu! Zuzu hata ulipe almasi unaweza kulinyang'anya kwa kulidanganya kwa peremende tu!
DR Congo, Malawi, Burundi, Uganda n.k wanaweza kufuata mizigo yao Rwanda , kwa nini isiwezekane kwa mtu mwenye akili kubwa kama Paul Kagame?! Na hata Kariakoo inaweza kufa kabisa likabaki soko la kuuzia bamia na matikiti maji tu!
Vyama vya upinzani unganeni muwe mbadala wa kulikomboa Taifa hili la Hayati Nyerere toka mikononi mwa Ukoloni wa kijinga wa Mwarabu!
Hata CCM wenye akili wanajua hili jambo ni kubwa na halikupaswa kuendewa kienyeji enyeji kama lilivyopelekwa!
Wasiwasi ndio akili! tuweni macho na watu waliovembewa kama akina Nape Nnauye! tuwapuuze!