Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hivi kwanini husipate corona ukatupisha?Nyie ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa, lakini inaonena hali si shwari kabisa. Wanachama wanawakimbia nyie mnatoa kisingizio kuwa wananunuliwa(ushahidi haupo)
Viongozi wenu wanahukumiwa kwa kosa la jinai nyie mnaleta propaganda,mara account zimefungwa, tumechangiwa na wananchi n.k
Wananchi wanaona kama wazee wa kupiga ili kujaza matumbo yenu tu(hawana imani na nyie tena) Wala hamhangaiki.
Uchaguzi umekaribia mmebaki kuleta visingizio vya tume huru(mmekubali kushindwa)
Sasa ni kama hamna mikakati kabisa. Au ndio kusema Dk Slaa aliondoka na mikakati madhubuti!
Hawa jamaa kumlipia mwanachama wao fine sio kumnunua.Uthibitisho umeona wewe mchana kweupe kwa mashinji walivyotoa pesa sasa washindwe kununua wapinza ambao wengi wao ni madiwani cheapest product. Kuondoka kwa mchezaji hakumfanyi shambiki wa timu kuama timu yake
Hawa jamaa kumlipia mwanachama wao fine sio kumnunua.
Nyie ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa, lakini inaonena hali si shwari kabisa. Wanachama wanawakimbia nyie mnatoa kisingizio kuwa wananunuliwa(ushahidi haupo)
Viongozi wenu wanahukumiwa kwa kosa la jinai nyie mnaleta propaganda,mara account zimefungwa, tumechangiwa na wananchi n.k
Wananchi wanaona kama wazee wa kupiga ili kujaza matumbo yenu tu(hawana imani na nyie tena) Wala hamhangaiki.
Uchaguzi umekaribia mmebaki kuleta visingizio vya tume huru(mmekubali kushindwa)
Sasa ni kama hamna mikakati kabisa. Au ndio kusema Dk Slaa aliondoka na mikakati madhubuti!
Mbona tunaombeana vifo ?Kweli wewe ni Chagu, Kwa akili hizi bora corana ije ituondolee matahira kama nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Uthibitisho umeona wewe mchana kweupe kwa mashinji walivyotoa pesa sasa washindwe kununua wapinza ambao wengi wao ni madiwani cheapest product. Kuondoka kwa mchezaji hakumfanyi shambiki wa timu kuama timu yake
Hivi CCM imechukua akili zenu zote, hata kiasi kidogo hamjabakiziwa?Nyie ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa, lakini inaonena hali si shwari kabisa. Wanachama wanawakimbia nyie mnatoa kisingizio kuwa wananunuliwa(ushahidi haupo)
Viongozi wenu wanahukumiwa kwa kosa la jinai nyie mnaleta propaganda,mara account zimefungwa, tumechangiwa na wananchi n.k
Wananchi wanaona kama wazee wa kupiga ili kujaza matumbo yenu tu(hawana imani na nyie tena) Wala hamhangaiki.
Uchaguzi umekaribia mmebaki kuleta visingizio vya tume huru(mmekubali kushindwa)
Sasa ni kama hamna mikakati kabisa. Au ndio kusema Dk Slaa aliondoka na mikakati madhubuti!
Ni ukweli wa mambo tu, wala sio suala la uCCM.Hivi CCM imechukua akili zenu zote, hata kiasi kidogo hamjabakiziwa?
Jitu zima unakurupuka kuanzisha uzi wa kipumbavu namna hii?
Ni kweli kwamba hujui CDM wanavyo nyanyaswa na utawala huu, au ndo bila buku7 maisha hayaendi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga weweNyie ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa, lakini inaonena hali si shwari kabisa. Wanachama wanawakimbia nyie mnatoa kisingizio kuwa wananunuliwa(ushahidi haupo)