comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Msemo wa Kiswahili akili nyingi huondoa maarifa unaakisi hulka za CHADEMA katika harakati zao za kudai katiba mpya. Ni sheria ya asili (Natural Law) kwamba sheria hutengezezwa na wenye mamlaka ili kutawala waliobaki.
Mfano
1. Mungu alitengeneza mwenyewe amri kumi zake akampa musa atuletee sisi; angetuhusisha wote mpaka sasa hivi tungekuwa bado tuko amri ya kwanza neno la kwanza.
2. Waingereza walipewa kutusimamia sisi Tanganyika. Hata pale walipoamua kuondoka bado walichukua mda wao wakakaa wakatutengenezea katiba wakatutupatia tuitumie kujitawala.
3. Kenya mradi wa katiba ulikuwa wa Raila na Kibaki. Kibaki aliposhika utawala peke yake hakuigusa katiba. Raila alipofanikiwa kuungana nae kwenye utawala wakati wa mhula wa mwisho wa Kibaki ndipo walipoweza kutengeneza katiba
CHADEMA habari kwamba mamlaka inatoka kwa wananchi ni constructed law as opposed to natural law- ni maneno ya wanaharakati.
Kwa vile mnaonyesha kukosa baraka za wananchi kupitia uchaguzi ili kushika utawala - utamsubiri sana kufikia ndoto zenu za mchana za katiba mpya.
AKILI BILA MAARIFA NI BURE POLENI