CHADEMA mnakosea sana. Mbona enzi za Mwendazake hamkudai Katiba kwa nguvu kama sasa hivi. Mnadhani Rais Samia ni dhaifu hivyo mna uhuru wa kumpelekesha kama mtakavyo?
Sisi wananchi tunajua kuwa tunahitaji Katiba nzuri. Ila njia mnazotaka kuzitumia zinatukazwa.
Ni nyie nyie ambao mlikwamisha mchakato wa katiba ulioanzishwa na Mzee Kikwete kwa hoja dhaifu. Wengine tulikaa na kusitika maana ni bira kupata kidogo kuliko kupoteza kabisa. Matokeo yake mkafanya mchakato mzima kuishia njiani.
Ndugu zangu huwezi kuoata kila kila kiti siku moja. Mngekubali katiba pendekezwa kipindi kile sasa hivi tungekuwa tuna ongelea vioengele vichache vya kubadilisha.
Na ni nyie nyie mliotundika daruga na kukaa kimya enzi za mwendazake. Msitake kumtwisha Mh. Rais Samia hasira za zenu juu ya mwendazake. Nyie ni sehemu ya lawama pia.
Kwa nini msimpe ushirikiano Rais Samia, ili katiba ipatikane kwa njia za ki diplomasia na mazungumzo.
Samia ana miezi mitatu tu. Anahitaji kujifunza na kuweka mipango sawa.
Na vile vile ana mpango wa kukutana na viongozi wa siasa ili pamoja mpange mipango si tu kupata katiba na tume huru ya uchanguzi bali kuongelea maswala mengine mengi yahusuyo nchi yetu.
Sisi wananchi tumepigika na kwa sasa tunataka kuona nchi ikifufuka, biashara zikirudi na ajira zikipatikana ili tuweze kula, na kulisha familia zetu.
Harakati mnazozianzisha, kejeli na majigambo havitusaidii sisi Wananchi na wala hazitawasaidia nyie kama chama.
Chonde chonde, subirini mazungumzo na Mh. Rais, vuteni subira ili tufanikiwe.
Msidhani nyie ndo wasemaji wa wananchi wote Tanzania. Sisi wanachi tunataka siasa safi na zenye kuleta tija.
Msitake kuamsha hasira za Mh. Rais ambaye anaonekana kuwa muungwana.
Siasa haziendeshwi hivyo. Najua mmeumizwa lakini jitahidi kuwa chama cha siasa na siyo wanaharakati.
Watanzania wengi tunaunga juhudi za Mh. Rais katika kuhakikisha mambo yanaenda hasa katika kipindi hiki ambacho uchumi umeyumba kutokana na janga la corona.
Kama mliweza kukaa bila madai ya katiba kwa kipindi cha mwaka sita ni nininl kinawashinda sasa hivi kuendesha siasa za ustarabu na kidiplomasia wakati Mh. Rais akijioanga?
Mwisho wa siku mtakasa mvuto na uungwaji mkono wa wananchi tulio wengi. Hebu rudini nyuma na mmpe nafasi Rais ashughulikie mambo ya msingi kwanza ikiwa ni pamoja na kujipanga kwa ajiri ya katiba mpya.
Harakati zenu zitatuponza na awahu hii mkianza kupigwa mabomu hatutakuwa nanyi.