Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo
Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo.
Cha kushangaza wanawambia watu watume kwenye account yake binafsi kwa nini wasitume kwenye account ya chama.
Huu umeishakuwa mradi watu wanatafuta kesi wapate pesa Mdude kachangiwa pesa eti aanze biashara lakini kila siku anashida twita anatukana tu.