Kukurupuka ndio jadi yao.Mkuu ulipata muda kdg wa kutakari kabla ya kurusha hili? Ww pia unapinga tozo je umeacha kuishi sbb unapinga tozo?
Mbowe, aliposema hatupo tayar kumpa muda rais kuhusu katiba mbona hamataki saula la pesa mpo tayari kupokea😀Ukisimamisha shughuli zako za kimaisha utaishije?
Tozo zinapingwa huku mambo mengine yakiendelea, unataka watanzania waendelee kusota magerezani kwa kesi za kupikwa mpaka Samia atakapoamua kuondoa tozo?
Kwangu Mimi CHADEMA nilikuwa nakiona ni Chama wakati wa akina Dkt. Slaa na Zitto Kabwe, ila kwa sasa nakiona ni Chama cha Mihemko, Kuchanganyikiwa na Magaidi fulani hivi wanaojificha katika Siasa na Demokrasia.Wanaukumbi.
Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo
Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo.
Cha kushangaza wanawambia watu watume kwenye account yake binafsi kwa nini wasitume kwenye account ya chama.
Huu umeishakuwa mradi watu wanatafuta kesi wapate pesa Mdude kachangiwa pesa eti aanze biashara lakini kila siku anashida twita anatukana tu.
View attachment 1889240
Huwa unaleta hoja dhaifu ila hii ya Leo dah, umeharibu kabisa! Hii umechemka pakubwa sanaWanaukumbi.
Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo
Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo.
Cha kushangaza wanawambia watu watume kwenye account yake binafsi kwa nini wasitume kwenye account ya chama.
Huu umeishakuwa mradi watu wanatafuta kesi wapate pesa Mdude kachangiwa pesa eti aanze biashara lakini kila siku anashida twita anatukana tu.
View attachment 1889240
Nimesoma ndio maana nikapinga! Tumia akili kidoogoo punguza mahaba. Hivi ulitaka wafanyeje? Tumpelekee mkononi??Jifunze kusoma vitu usivyovipenda itakuwa uhuru zaidi kifikra sasa hoja zangu unaziita dhaifu kutokana zinapinga na zako.
Watanzania tulio wengi tuna[pinga ozo siyo chadema tu!Wanaukumbi.
Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo
Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo.
Cha kushangaza wanawambia watu watume kwenye account yake binafsi kwa nini wasitume kwenye account ya chama.
Huu umeishakuwa mradi watu wanatafuta kesi wapate pesa Mdude kachangiwa pesa eti aanze biashara lakini kila siku anashida twita anatukana tu.
Mkuu mimi ni raia wa kawaida muuza kahawa na kashata tu.Kweli chadema wa kulia mashaka sana! Chama kimesajiliwa na orgànaizesheni zake rasmi lakini bado wanatumia njia na mali za mtu binafsi kufanya shughuli zao. Huu ni ubabaishaji uliopitikiza.
Mkuu( mleta mada), ni lini mtatuhurumia sisi raia na kupunguza tozo ama kusiondoa kabisa kwenye miamala ya simu? Pia ni lini mtatambua kuwa ni kuumiza wananchi kwa kuwapandishia kodi kwenye mafuta, na pembejeo za kilimo, katika kipindi hiki cha covid ili muzipunguze ama muziondoe!?