CDM tangu watafune michango ya Lissu na faini za akina Mbowe wamenogewa sana na michango! Sasa hivi hata mtoto wa Mnyika akiumwa wanachangisha akatibiwe! Juzi hapa Lema kaanzisha michango hili azunguke duniani kumchafua Samia, hivi na hii Covid nchi gani itakuruhusu uingie kibwegebwege kuongea utopolo wako?