Kuna video moja nimeona inasambaa ikionyesha mdau mmoja akisema CHADEMA wanaringa na msiba wao huku akiahidi kwamba na "wao" wanasubiri msiba wao ambao utafana zaidi ya msiba wa CHADEMA ili nao wapate kuringa.
Huyu mdau akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa tena msiba "wao" utakaofana utatangazwa na dunia nzima tofauti na msiba wa CHADEMA uliotangazwa na vinchi kama viwili au vitatu tu.
Hii code ni ngumu kidogo. Bado nakuna kichwa kuifungua hii code.
Tunausubiri kwa hamu huo msiba wao ambapo bendera ya Taifa itapepea nusu mlingoti kwa siku21 itakuwa sherehe kubwa sana nchi italipuka kwa nderemo kushangilia kifo cha mwanamke katili kuliko wote duniani