Uchaguzi 2020 CHADEMA mnataka kutufanyia nini mkipewa nchi?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Mgombea Lissu kazi yake kubwa hadi sasa navyomuona ni kumkosoa Magufuli na serikali yake ya CCM, sijaona hadi sasa ana malengo gani na hii nchi, kama CDM hamna sera za maana ni bora mkakaa kimya tuendelee na CCM.

Kwenye ilani yenu ya 2015 mlikuwa na sera za elimu bure hadi chuo kikuu, Magufuli amechukua elimu bure ya msingi hadi form four. Agenda yenu na Slaa ya Ufisadi, Magufuli ameitekeleza hatusikii ufisadi siku hizi tunasikia ufisadi kwa wenzetu wa Kenya huko ambao wanaongozwa na upinzani ulioishinda KANU chama halisi kilichiokomboa Kenya toka ukoloni.

Je Chadema mna jipya lipi? Leteni sera zenu hadharani Magufuli azichukue kama ni nzuri, maana huyu jamaa ni mtekelezaji, ndo maana sasa hivi CCM imekuwa maarufu tena ni kwa sababu ya Magufuli, hataki upumbavu.

Je Chadema mnataka kutupeleka kwa lockdown ya Covid-19 mkipewa nchi? Maana umaarufu wenu wote uliisha kwa misimamo yenu ya kipumbavu dhini ya agenda (sio ugonjwa) ya corona.

Je mnataka kuigawa nchi kwenye tawala za ki majimbo (kikanda zaidi) kama mnavyodai kwenye sera zenu? (Nilisikia kwenye mikutano ya Lissu wanachama waki hanikiza utawala wa ki kanda au Zone) . Kama bado mna mitazamo hiyo mwaka huu ndo unaweza kuwa mwisho wenu wa nguvu za kisiasa kama NCCR ya akina Mrema.

Hebu tuambieni katika Afrika ni chama gani kimefanya mapinduzi ya kimaendeleo hasa baada upinzani kuchukua nchi. Mfano ni Kenya hapo media zote za nje tunasikia kwenye DW au BBC ufisadi mkuu huko Kenya, je mnataka kutuambia Magufuli amebana vyombo vya habari na hata CAG kabanwa na Bunge kutokuwa Live ndo maana ufisadi hatuusikii?

Mbona wakina Upinzani bado upo bungeni na social media zinaturushia video clip za bungeni lakini taarifa za ufisandi hatuzisikii? Mnatuambia kuwa Magufuli mwaka huu atapigiwa kura na vitu na sio watu, je sisi ni wajinga kuwa hatuzitaki barabara, kuondoa misongamano ya magari DSM kwa kujenga flyovers au kupanua baraabara, je sisi hatutaki kuboreshewa shule za serikali zile kongwe?

Je maboresho ya vituo vya afya, na vipi umeme wa Stiglers gorge umeme utakaozalishwa tunaambiwa hadi 2023 utakuwa mwingi kuliko Kenya , Uganda, Rwanda, Burundi Combine.

Na hii itasababisha umeme kushuka bei kwa vile utakuwa under control ya serikali, au Chadema mnataka tuendelee kutumia umeme wa Symbion na Aggreco umeme wa bei mbaya, hadi sasa tunanunua unit moja ya umeme kwa sh. 355, wengine wasio na matumizi sh. 100.

Hivi hamuoni miti inavyokatwa kwa mkaa na LPG ilivyokuwa ghali? Maana yake umeme tukipunguziwa umeme tukanunua unit moja chini ya sh.100 maana yake hakuna ambaye atatumia umeme zaidi ya unit 10 kwa siku gharama ambayo haitazidi sh.1000 kwa siku.

Fungu la mkaa la sh. 500 halimalizi kupika maharagwe lakini ukinipunuzia umeme sitatumia LPG wala mkaa, bali tutatumia majiko ya kisasa ya umeme kama induction cooker au hata kiwanda cha kutengeneza majiko ya umeme cha Arusha yaani Tanelec kitatengeneza majiko ya bei nafuu ya umeme, Chadema ndoto yenu ya nchi ni nini?

Tumemsikia Magufuli na ndoto zake aibadilishe nchi iwe kama Ulaya, ninyi mna ndoto gani ili tuwachague au ndo manataka uhuru wa vyombo vya habari? Mimi nna uhakika control ya vyombo vya habari ninyi ndo mmeusababisha, mnashawishi upumbavu

Kushawishi kuondoa utulivu kwa maslahi yenu, hivi ukiviacha vyombo vya habari na waandishi wawe huru si ndo itakuwa kama Rwanda na Burundi, vyombo vya habari ndo vilileta mauaji ya kimbari mwaka 1994.

Vyombo vya habari na social media usipovi control vitatupatia information za uongo, walisemaga kipindi fulani Magufuli kafa, au hata mkuu wa majeshi Mwamunyange walizusha kafa, hivyo ndo vyombo vya habari vyetu. Vyombo vya habari ukiviachia huru tutletewa sinema za uchi kwa kigezi cha uhuru wa vyombo vya habari. Vyombo hivi vingekuwa vinaleta habari za kweli visingefungiwa.

Hadi sasa tunaona kuwa Magufuli ni mshindi otherwise mtushawishi kwa Facts, na mtambue pia tuna awareness kuliko zamani.
 
Subiri muda wa kampeni Ile ilikuwa ni ziara ya kuomba wadhamini kwa mjibu wa taratibu za Uchaguzi.
 
Katiba mpya ,kumpunguzia madaraka ya Rais, suala la ajira,kilimo,elimu,afya,wafugaji,wachimbaji madini ,wananchi kuishi huru na kujitawala
 
Usiulize chama cha siasa kitakufanyia nini, jiulize wewe utalifanyia nini taifa lako, (J.F.K)
 
Subirini kampeni zianze msiwe na kiherehere
 
Tuambie utajiri wa Makonda na Mnyeti kwanza
 
Back
Top Bottom