Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Nje ya mada. Jibu hoja mkuu.Slaa alimuomba msamaha papa kuasi upadre? au kuzini na mke wa mtu!
Ombeni msamaha,Dk alikijengea imani Chama. Mlimtosa vibaya sana.Hivi huwa hamna jambo jipya kwenye thread zenu, kila siku mnarudia yale yale, hamna mawazo mapya?!
Slaa siku hizi anaringa, bosi wake ana pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani alimnywesha sumu? Haijulikani subiri polisi wamalize upelelezi.Yule mzee mliemlisha sumu mumeshamuomba msamaha?
Unataka kulinganisha 1 na 2 ziwe sawa. Jambo ambalo haliwezekani. Kuomba msamaha ni uungwana.Dr.Slaa mlimpiga mabomu na virungu yeye na mke wake huku mkimwita ni mwenye kiwanda cha uongo leo kawa lulu!
Kamuombeni kwanza Kolimba msamaha ndio muje na hizi ngonjera zenu.
Wanafiki wakubwa nyie!
Mwambieni molel awaambie ni inside job huyo mmasai mwenye njaa mliemtupia mfupaKwani nani alimnywesha sumu? Haijulikani subiri polisi wamalize upelelezi.